1Magomvi yenu ya kupigana ninyi kwa ninyi yanatoka wapi? Sipo hapo, mzichezeapo tamaa zenu zinazoshindana katika viungo vyenu?
11Msitetane, ndugu! Anayemteta ndugu au anayemwumbua ndugu yake huyateta Maonyo na kuyaumbua Maonyo. Lakini ukiyaumbua hu mfanyaji wa Maonyo, ila muumbuzi.
12Mwenye kuyatoa Maonyo na mwenye kuhukumu ni mmoja, maana ni yeye anayeweza kuokoa na kuangamiza. Lakini wewe u nani ukimwumbua mwenzio?Tunakuwapo kama mvuke.
13*Sasa tusemeane nanyi mnaosema: Leo au kesho tutakwenda mjini fulani, tukae huko mwaka mzima, tuchuuze na kuchuma!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.