Mashangilio 124 - Swahili Roehl Bible 1937

Kumsifu mwokozi wetu.Wimbo wa Dawidi wa kupapandia Patakatifu.

1Kama Bwana asingalikuwa nasi, Waisiraeli na waseme hivyo:

2Kama Bwana asingalikuwa nasi, watu walipotuinukia,

3wangalitumeza, tukingali wazima bado; ilikuwa hapo, moto wa makali yao ulipotuunguza.

4Maji mengi yangalitudidimiza hapo, mito ilipopita juu yetu,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help