1Mose, mtumishi wa Bwana, alipokwisha kufa, ndipo, Bwana alipomwambia Yosua, mwana wa Nuni, mtumishi wake Mose, kwamba:
2Mtumishi wangu Mose amekwisha kufa; sasa ondoka, uuvuke huu Yordani, wewe na watu wote wa ukoo huu, mwiingie nchi hiyo, mimi nitakayowapa wana wa Isiraeli.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.