1Bwana akamwambia Mose kwamba:Waisiraeli wanaondoka nyikani kwa Sinai.
11Ikawa siku ya ishirini ya mwezi wa pili katika mwaka wa pili, ndipo, lile wingu lilipoondoka penye Kao la Ushahidi.
12Nao wana wa isiraeli wakaondoka kwenda safari yao na kutoka nyikani kwa Sinai, nalo wingu likatua tena katika nyika ya Parani.
13Kama Bwana alivyoviagiza kinywani mwa Mose, ndivyo, wa kwanza walivyoondoka.
35Kila mara Sanduku lilipoondoka, Mose akasema: Inuka, Bwana, adui zako watawanyike, nao wachukivu wako waukimbie uso wako!Sh. 68:2; 132:8.
36Tena lilipotua husema: Rudi, Bwana, kwenye maelfu na maelfu ya Isiraeli!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.