1Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! Ya kuwa upole wake ni wa kale na kale!
19Nifungulieni malango ya kuingia kwake wongofu, niingie humo, nimshukuru Bwana!
20Hili ndilo lango la kuingia mwake Bwana; waongofu ndio watakaoliingia.
21Ninakushukuru, kwa kuwa uliniitikia, maana ulinijia, ukawa mwokozi wangu.
27Bwana ni Mungu atuangazaye. Jipambieni sikukuu na kushika makuti, mje kufika kwenye pembe za meza iliyo ya kutambikia!
28Mungu wangu ni wewe, ninakushukuru; Mungu wangu, ninakutukuza.
29Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! ya kuwa upole wake ni wa kale na kale!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.