1Ilipokuwa jioni, wale malaika wawili wakafika Sodomu, naye Loti alikuwa amekaa langoni huko Sodomu. Alipowaona Loti akainuka kuwaendea njiani, akawaangukia usoni chini,Loti anapona na wanawe.
12Kisha wale waume wakamwambia Loti: Kama unao ndugu, wakweo na wanao wa kiume na wa kike nao wo wote walio wako humu mjini, wachukue, utoke nao mahali hapa!
13Kwani sisi tutapaangamiza mahali hapa; kwani makelele yao ni makubwa masikioni mwake Bwana, kwa hiyo Bwana ametutuma, tupaangamize.Mji wa Sodomu nao wa Gomora unaangamizwa.
24Ndipo, Bwana aliponyesha mvua ya moto uliochanganyika na mawe ya kiberitiberiti kwenye miji ya Sodomu na Gomora; mvua hii ilitoka kwake Bwana mbinguni.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.