1Siku zile Yesu alipita katika mashamba siku ya mapumziko; nao wanafunzi wake walipoona njaa wakaanza kukonyoa masuke, wakala.Utete uliopondeka.(15-21: Mar. 3:7-12.)
15Yesu alipoyatambua akaondoka kule.
18Tazameni, huyu ndiye mtoto wangu, niliyemchagua;
ni mpendwa wangu, ambaye Roho yangu inapendezwa naye.
Nitamtia Roho yangu, awatangazie wamizimu,
ya kwamba hukumu yao iko.
Mama na ndugu.(46-50: Mar. 3:31-35; Luk. 8:19-21.)
46*Alipokuwa akisema bado na makundi ya watu, mara mama yake na ndugu zake walikuwa wakisimama nje kwa kumtaka, waseme naye. Mtu akamwambia:
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.