1Hapo mwanzo palikuwapo Neno; hilo Neno lilikuwapo kwa Mungu, naye Mungu ndiye aliyekuwa Neno.
6Palitokea mtu aliyetumwa na Mungu, jina lake Yohana.
7Huyo alijia kushuhudu, aushuhudie mwanga, wote wapate kuutegemea kwa ajili yake.
15*Yohana akamshuhudia yeye na kupaza sauti akisema: Huyu ndiye, niliyemsema: Ajaye nyuma yangu alikuwa mbele yangu, kwani ni mtangulizi wangu.Ushahidi wa Yohana.
19*Huu ndio ushahidi wa Yohana, Wayuda walipotuma kwake toka Yerusalemu watambikaji na Walawi, wamwulize: Wewe ndiwe nani?Filipo na Natanaeli.
43*Kesho yake Yesu alipotaka kutoka kwenda Galilea akamwona Filipo, akamwambia: Nifuata!
44Lakini Filipo alikuwa mtu wa Beti-Saida, ni mji wao Anderea na Petero.
45Filipo akamwona Natanaeli, akamwambia: Tumemwona, ambaye mambo yake aliyaandika Mose katika Maonyo, hata Wafumbuaji, ndiye Yesu, mwana wa Yosefu wa Nasareti.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.