2 Wakorinto 10 - Swahili Roehl Bible 1937
Paulo alivyosingiziwa.
1Nawaonya ninyi kwa upole na kwa utu wa Kristo mimi Paulo mwenyewe niliye mnyenyekevu kwenu nikiwaona, nikawatolea makali nikiwa mbali!
17Lakini mwenye kujivuna na ajivunie kuwa wa Bwana!