Mifano 3 - Swahili Roehl Bible 1937

Mbaraka ya kumcha Mungu.

1Mwanangu, usiyasahau maonyo yangu!

Nao moyo wako na uyalinde maagizo yangu!

2Kwani yatakupatia siku nyingi na miaka mingi

ya kukaa mwenye uzima na mwenye utengemano.Mbaraka ya ujuzi.

13Mwenye shangwe ni mtu aonaye werevu wa kweli,

naye mtu apataye utambuzi,Watu wasifanyiane mabaya!

27Chema cho chote usimnyime mwenzio apaswaye nacho,

ikiwa, mkono wako unaweza kumpatia.

28Usimwambie mwenzio: Nenda, urudi! nitakupa kesho,

nawe hicho cha kumpa unacho hapo hapo!

29Usiwaze kumfanyizia mwenzio mabaya,

yeye akikaa na wewe pasipo kuogopa kitu!

30Usigombane na mtu bure tu,

kama hakukufanyizia kibaya!

31Mkorofi usimwonee wivu,

wala njia zake usizichague kuwa za kuzishika!

32Kwani mpotovu humtapisha Bwana,

lakini wanyokao ndio, ambao anakula njama nao.Sh. 25:14.

33Kiapizo cha Bwana huzikalia nyumba zao wasiomcha,

lakini makao ya waongofu huyabariki.

34Akijia wafyozaji huwafyoza naye,

lakini wanyenyekevu huwapatia huruma.Fano. 1:26; 1 Petr. 5:5.

35Werevu wa kweli watapata utukufu, uwe fungu lao,

lakini matukuzo yao wapumbavu ndio matwezo yatakayowapata.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help