1Akaniambia: Mwana wa mtu, utakachokiona, kile! Ukile kitabu hiki kilichozingwa! Kisha nenda kusema na mlango wa Isiraeli!Ezekieli anawekwa kuwa mlinzi wa Waisiraeli.
12Upepo ukanichukua, nikasikia nyuma yangu sauti ya uvumi mkubwa wa kwamba: Utukufu wa Bwana na utukuzwe hapo, alipo!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.