Mashangilio 134 - Swahili Roehl Bible 1937

Kumtukuza Mungu na usiku.Wimbo wa kupapandia Patakatifu.

1Mtukuzeni Bwana, nyote mlio watumishi wa Bwana, msimamao na usiku Nyumbani mwake Bwana!

2Iinueni mikono yenu hapo Patakatifu! Mtukuzeni Bwana!

3Bwana akubariki toka Sioni, yeye aliyeziumba mbingu na nchi!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help