Matendo ya Mitume 10 - Swahili Roehl Bible 1937

Kornelio.

1Kesaria kulikuwa na mtu, jina lake Kornelio, mkubwa wa kikosi cha askari kilichoitwa cha Italia.

42*Akatuagiza kutangazia watu na kuyashuhudia po pote, ya kuwa ndiye aliyewekwa na Mungu, awahukumu wanaoishi nao waliokufa.

44Petero akingali akiyasema maneno haya, Roho Mtakatifu akawaguia wote waliolisikia lile neno.

45Ndipo, wenye kumtegemea Bwana waliotahiriwa, waliokuja pamoja na Petero, waliposhangaa sana, ya kuwa hata wamaizimu humiminiwa kipaji cha Roho Mtakatifu.

46Kwani waliwasikia, wakisema misemo migeni na kumkuza Mungu. Ndipo, Petero alipojibu:

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help