1Ninyi vitoto, mlio wangu, haya nawaandikiani, msikose. Lakini kama yuko aliyekosa, tunaye mwombezi kwa Baba, ndiye Yesu Kristo aliye mwongofu.Agizo jipya.
7Wapendwa, siwaandikii agizo jipya, ila agizo la kale, mlilokuwa nalo tangu mwanzo. Agizo hilo la kale ndilo Neno, mlilosikia.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.