Mashangilio 107 - Swahili Roehl Bible 1937

Kitabu cha tano.(Sh. 107—150.)Kumshukuru Mungu kwa kuwa mwokozi.

1Mshukuruni Bwana, ya kuwa ni mwema! Ya kuwa upoke wake ni wa kale na kale!

10Wako wengine, walikaa gizani mwenye kufa, wakawa wamefungwa na kubanwa na vyuma.

11Kwani walikataa kuyatii maneno yake Mungu, wakalibeza shauri lake yule Alioko huko juu.

12Kwa hiyo aliinyenyekeza mioyo yao kwa kuwatesa, nao walipojikwaa, hakuwako aliyewasaidia.

13Ndipo, walipomlilia Bwana kwa kusongeka hivyo, naye akawaokoa katika masumbuko yao.

23Wako wengine waliosafiri baharini katika merikebu wakifuata uchuuzi kule kwenye maji mengi.

43Yuko nani aliye mwenye ujuzi? Na ayashike haya! Na autambue upole wake Bwana!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help