Mashangilio 3 - Swahili Roehl Bible 1937

Wimbo wa asubuhi wa kumtegemea Mungu.Wimbo wa Dawidi, alioutunga alipomkimbia mwanawe Abisalomu.

1Bwana, tazama, jinsi walivyo wengi wanaonisonga! Tena ni wengi wanaoniinukia.

7Inuka, Bwana! Niokoe, Mungu wangu! Kwani walio adui zangu unawapiga makofi wote, ukawavunja meno wasiokucha, wewe.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help