1Kisha nikaona malaika aliyeshuka toka mbinguni; alikuwa ameushika ufunguo wa kuzimu na mnyororo mnene mkononi mwake.Kushindwa kabisa kwa Satani.
7Hiyo miaka elfu itakapomalizika, Satani atafunguliwa kifungoni mwake;
8ndipo, atakapotoka kuwadanganya wamizimu walioko katika pembe nne za nchi, ni wale wa Gogi na wa Magogi, awakusanye kupiga vita, nao watakuwa wengi kama mchanga wa ufukoni.Hukumu ya mwisho.
11Kisha nikaona kiti cheupe kikubwa cha kifalme naye yeye aliyekikalia. Usoni pake nchi na mbingu zikakimbia, lakini hazikuonewa mahali pao pa kuwapo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.