1*Nitamtukuza Bwana siku zote, mashangilio yake yakae midomoni mwangu pasipo kukoma.
11Njoni, ninyi wana, mnisikilize, kumwogopa Bwana ndiko, nitakakowafundisha.
12Mtu apendezwaye na uzima yuko wapi? naye apendaye siku za kuona mema?
15Macho ya Bwana huwatazama walio waongofu, masikio yake huvisikiliza vilio vyao.
16Uso wa Bwana huwapingia wafanyao mabaya, awang'oe, wasikumbukwe tena katika nchi.
19Kweli, mabaya mengi humpata aliye mwongofu, lakini katika hayo yote Bwana humponya.2 Kor. 1:5.
20Nayo mifupa yake yote huiangalia, hata mmoja miongoni mwao usivunjike.
21Ubaya utamwua asiyemcha Mungu, nao wachukiao wongofu watakuwa wenye manza;
22lakini roho zao watumishi wake Bwana huzikomboa, wao wote wamkimbiliao, wawe watu wasio wenye manza.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.