1Salomo akawaza kulijengea Jina la Bwana nyumba, tena kujijengea mwenyewe nyumba ya kifalme.
2Ndipo, Salomo alipohesabu wachukuzi 70000 na mafundi wa kuchonga mawe 80000, akawapeleka milimani pamoja na wasimamizi wao 3600.
3Kisha Salomo akatuma watu kwa Huramu, mfalme wa Tiro, kwamba: Kwa hivyo, ulivyopatana na baba yangu Dawidi, ukampelekea miti ya miangati ya kujijengea nyumba ya kukaa humo,
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.