1Nilisema moyoni mwangu: Haya! Niyajaribu yenye furaha, nijionee mema! Nikaona, hayo nayo ni ya bure.
2Macheko nikayaambia: Ni kuwa na wazimu, nayo furaha nikaiambia: Hii inafaaje?
3Niliwaza moyoni mwangu kuufurahisha mwili wangu kwa mvinyo, lakini akili zikae zikiuongoza mwili; nikataka kuufuata huo ujinga, mpaka niyaone yawafaliayo wana wa Adamu kuyafanya chini ya mbingu siku zao zote za kuwapo.
12Kisha mimi nikageuka kuupambanua werevu wa kweli na upumbavu na ujinga; kwani mtu atakayemfuata mfalme atafanya nini? Ni yale yale, watu waliyoyafanya tangu kale.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.