5 Mose 23 - Swahili Roehl Bible 1937

Wasioweza nao wanaoweza kupokelewa katika mkutano wa Waisiraeli.

1Katika mkutano wa Bwana asiingie mume aliyekomeshwa kuzaa kwa kupondwa au kwa kukatwa.

2Katika mkutano wa Bwana asiingie mwana wa ugoni wa ndugu na ndugu; ijapo awe wa kizazi chake cha kumi, asiingie katika mkutano wa Bwana.

3Mwamoni wala Mmoabu asiingie katika mkutano wa Bwana, ijapo awe wa kizazi chao cha kumi, kale na kale na wasiingie katika mkutano wa Bwana.

4Kwa kuwa hapo, mlipotoka Misri, hawakuwaendea na kuwapelekea ninyi wala chakula wala maji, tena walimkodisha Bileamu, mwanawe Beori, na kumtoa Petori ulioko Mesopotamia, aje, akuapize.

15Mtumwa aliyekukimbilia, ajiponye mikononi mwa bwana wake, usimrudishe kwake yule bwana wake.

16Na akae kwako mahali, atakapojichagulia po pote penye malango yako patakapokuwa pema machoni pake, nawe usimsumbue.

17Katika wana wa kike wa Kiisiraeli wasiwe wagoni wa Patakatifu, wala katika wana wa kiume wa Kiisiraeli wasiwe wagoni wa Patakatifu.

19Usimkopeshe ndugu yako, ujipatie faida ya fedha au faida ya chakula au faida ya cho chote, watu wanachokikopeshea faida.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help