2 Samweli 15 - Swahili Roehl Bible 1937

Fujo la Abisalomu.

1Hayo yalipokwisha, Abisalomu akajipatia magari na farasi na watu 50, wamtangulie na kupiga mbio.Kukimbia kwake Dawidi.

13Mtu alipofika kwa Dawidi na kumpasha habari ya kwamba: Mioyo ya waume wa Waisiraeli imegeuka kumfuata Abisalomu,

14Dawidi akawaambia watumishi wake wote, aliokuwa nao Yerusalemu: Haya! Ondokeni, tukimbie! Kwani hatutapata kupona, Abisalomu akitujia. Pigeni mbio, twende, asitukamate upesi na kutufanyizia mabaya, akiwaua waliomo humu mjini kwa ukali wa panga.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help