1Ikawa, mwaka ulipopita, siku hizo wafalme wanapozoea kwenda vitani, ndipo, Dawidi alipomtuma Yoabu na watumishi wake pamoja naye na Waisiraeli wote, wakawaangamiza wana wa Amoni, wakausonga mji wa Raba kwa kuuzinga, lakini Dawidi alikuwa anakaa Yerusalemu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.