Mashangilio 5 - Swahili Roehl Bible 1937

Maombo ya asubuhi kwa kulindiwa wabaya.Kwa mwimbishaji, wa kuimbia mazomari. Wimbo wa Dawidi.

1Bwana, yasikilize maneno yangu! Yatambue nayo manong'ono yangu!

2Sauti ya kilio changu itegee masikio! Mfalme wangu na Mungu wangu, ninakulalamikia.

8Bwana, niongoze, niufuate wongofu wako, kwa ajili yao waninyatiao, ukainyoshe njia yako machoni pangu!

9Kwani vinywani mwao hao hamna yaliyo sawa, mioyoni mwao hukaa tamaa mbaya tu, makoo yao huwa makaburi yaliyo wazi, ndimi zao nazo huteleza.

10Wapatilize, Mungu, waangushwe na mashauri yao, wakumbe kwa ajili ya maovu yao mengi! Kwani wamekubisha.

11Wote wakuegemeao wapate kufurahi kale na kale, wapige vigelegele, kwani huwakingia, wakushangilie wote walipendao Jina lako!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help