1Yesu alipokwisha kuzaliwa Bet-Lehemu wa Uyuda wakati wa mfalme Herode, ndipo, walipofika Yerusalemu wachunguza nyota waliotoka upande wa maawioni kwa jua.
6Nawe Beti-Lehemu wa nchi ya Yuda,
hu mdogo kamwe katika majumbe ya Yuda.
Kwani mwako ndimo, atakamotoka mtawala
atakayewachunga walio ukoo wangu wa Isiraeli.
7Kisha Herode akawaita wale wachunguza nyota na kufichaficha, akazidi kuwauliza vema siku, ile nyota ilipooneka.
8Akawatuma Beti-Lehemu akisema: Nendeni, mkapeleleze sana habari za mtoto huyo! Mtakapomwona mnipashe habari, nami nipate kwenda nimwangukie.
9Nao walipokwisha msikia mfalme wakashika njia. Walipotazama, ile nyota, waliyoiona maawioni kwa jua, ikawatangulia, mpaka ikaja kusimama juu sawa ya mle alimokuwa yule mtoto.
10Walipoiona hiyo nyota wakafurahi furaha kubwa mno.
11Wakaingia nyumbani mle, wakamwona mtoto pamoja na mama yake Maria, wakamwangukia na kumnyenyekea. Walipokwisha wakayafungua malimbiko yao, wakamtolea mtoto tunu, dhahabu na uvumba na manemane.
Misri ndiko, nilikomwitia mwanangu.
Kuuawa kwa watoto.16Herode alipoona, ya kuwa wale wachunguza nyota wamemdanganya akakasirika sana, akatuma watu, wawaue watoto waume wote waliokuwako Beti-Lehemu na vilimani pake pote, waliokuwa wa miaka miwili nao waliopungua, kama alivyoipeleleza siku kwao wachunguza nyota.
17Ndipo, lilipotimia lililosemwa na mfumbuaji Yeremia kwamba:
18Sauti imesikiwa Rama, ni kilio na maombolezo mengi.
Raheli anawalilia watoto wake, hakutaka kubembelezwa,
kwani hawako.Kurudi.
19Herode alipokwisha kufa, mara malaika wa Bwana akamtokea Yosefu kwa ndoto huko Misri, akamwambia:
20Inuka, umchukue mtoto na mama yake, uende katika nchi ya Isiraeli! Kwani wamekwisha kufa waliotafuta kumwua mtoto.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.