1Mimi Petero niliye mtumwa wa Yesu Kristo nawaandikia ninyi wateule mkaao ugenini na kutawanyika kule Ponto na Galatia na Kapadokia na Asia na Bitinia.Fungu letu lililoko mbinguni.
3*Atukuzwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa sababu alituonea huruma nyingi, akatuzaa mara ya pili, tupate kingojeo chenye uzima kwamba: Yesu kristo amefufuka katika wafu!Kazi ya wafumbuaji.
10Nao wafumbuaji walioyafumbua hayo mema, mliyogawiwa, waliutafuta sana wokovu huo na kuuchunguza; wakayafuatafuata, wapate kujua,Makombozi yetu.
13*Kwa hiyo jifungeni kiroho viuno vyenu, mlevuke! Mtimilike na kuyangojea yale mema, mnayoletewa, mgawiwe, Yesu Kristo atakapotokea waziwazi!
17*Tena ninyi humwita Baba yeye anayemhukumu kila mtu kwa kazi yake pasipo kupendelea; kwa hiyo mwendelee miaka yenu ya kukaa ugenini na kuogopa!
25Lakini neno lake Bwana hukaa kale na kale.
Basi, hilo ndilo neno la mbiu njema, mpigiwayo ninyi.*
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.