Mashangilio 51 - Swahili Roehl Bible 1937

Majuto ya Dawidi.(Wimbo wa juto wa 4.)Kwa mwimbishaji. Wimbo wa Dawidi; aliutunga hapo, mfumbuaji Natani alipomjia, yeye alipokuwa ameingia mwake Batiseba.

1Nihurumie, Mungu, kwa upole wako!

2-3Kwa uchungu wako mwingi, unaotuonea, yafute mapotovu yangu!

20Na vikupendeze kufanya, pale Sioni pawe pazuri, nayo maboma ya Yerusalemu yajenge tena!

21Kisha utapendezwana ng'ombe za tambiko zilizo za kweli, ni zile za kuchomwa motoni nazo za kuteketezwa nzima; hapo ndipo, watakapokupelekea ng'ombe mezani pako pa kutambikia.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help