Mashangilio 97 - Swahili Roehl Bible 1937

Ufalme ni wake Mungu.

1Bwana ni mfalme! Nchi na zishangilie! Navyo visiwa vilivyo vingi na vifurahi!

7Sharti wapatwe na soni wote watumikiao vinyago, wajivuniao miungu iliyo ya bure; mwangukieni yeye, ninyi miungu yote!

10Ninyi mmpendao Bwana, yachukieni mabaya! Huzilinda roho zao wamchao yeye, huwaopoa mikononi mwao wasiomcha Mungu.Amo. 5:14-15.

11Mwanga unamzukia aliye mwongofu, nayo furaha inawazukia walionyoka mioyo.Sh. 112:4.

12Ninyi waongofu, mfurahieni Bwana, mwakumbushe watu utakatifu wake!

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help