Waebureo 7 - Swahili Roehl Bible 1937

Kristo na Melkisedeki.

1Kwani huyo Melkisedeki alikuwa mfalme wa Salemu na mtambikaji wa Mungu alioko mbinguni juu. Hapo Aburahamu aliporudi na kutoka katika vita vya wafalme, alimwendea, akampongeza.Melkisedeki ni mkubwa kuliko Aburahamu na Lawi.

4Lakini tazameni, huyo alivyokuwa, baba yetu mkuu Aburahamu akimpa fungu la kumi la mateka!

5Kweli nao wana wa Lawi waliopewa utambikaji waliagizwa na Maonyo kuwatoza fungu la kumi wenzao wa ukoo walio ndugu zao, tena ndio waliotoka pamoja nao kiunoni mwa Aburahamu.

26Kwani mtambikaji mkuu, ambaye tunapaswa naye, ni yule mcha Mungu, asiye mwovu, asiye mwenye madoa, aliyetengeka na wakosaji, alioko juu kuliko mbingu.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help