1Saa ile wanafunzi wakamjia Yesu, wakamwuliza wakisema: Aliye mkuu katika ufalme wa mbingu ni nani?
2Akaita kitoto, akamsimamisha katikati yao,
3akasema: Kweli nawaambiani: Msipogeuka, mkawa kama vitoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbingu.(12-14: Luk. 15:4-7.)
12Mwaonaje? Mtu akiwa na kondoo mia, tena mmoja wao akipotea, hatawaacha wale tisini na tisa milimani, aende kumtafuta yule aliyepotea?
13Naye akipata kumwona, kweli nawaambiani: Atamfurahia kuliko wale tisini na tisa wasiopotea.
14Vivyo hivyo Baba yenu alioko mbinguni hataki, hawa walio wadogo hata mmoja wao apotee.
Kufunga na kufungua.15Ndugu yako akikukosea, nenda kamwonye, wewe na yeye mko peke yenu! Akikusikia, umempata tena ndugu yako.Mtumwa mwovu.
21*Ndipo, Petero alipomjia, akamwambia: Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi, nikimwondolea? Yatosha mara saba?
22Yesu akamwambia: Sikuambii: Mwondolee mara saba, ila mwondolee mara sabini mara saba!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.