1Bwana, usinipatilize kwa ukali wako, wala kwa machafuko yako yenye moto usinichapue!
2Kwani mishale yako imenichoma, nao mkono wako umenilemea.
5Madonda yangu yananuka kwa usaha mwingi kwa hivyo, nilivyokuwa mwenye upumbavu.
6Kwa kupindika sanasana nimepotoka, mchana kutwa ninatembea kwa kusikitika.
7Kwani viuno vyangu vinazidi kuchomwa na moto wa machungu, hakuna kilicho kizima mwilini mwangu.
8Nimegeuka kuwa mwembamba kwa kupondeka sanasana, moyo ukizidi kunipiga mno, ninalia.
9Bwana, unayajua yote, niyatakayo, hata ninavyopiga kite, havikujificha kwako.
10Moyo wangu unatetemeka kwa kutokwa na nguvu, nilizokuwa nazo, nao mwanga wa macho yangu haumo tena mwangu.
11Wapenzi wangu na rafiki zangu husimama mbali kwa kuviona hivyo, ninavyopatilizwa; nao walio ndugu zangu husimama mbali.
21Usiniache, wewe Bwana! Mungu wangu, usinikalie mbali!
22Piga mbio, unisaidie, wewe Bwana, wokovu wangu!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.