1Akawa akipita katika mashamba siku ya mapumziko; l nao wanafunzi wake wakakonyoa masuke, wakayafikicha kwa mikono, wakala.
2Lakini walikuwako Mafariseo waliosema: Mbona mnafanya yaliyo mwiko siku ya mapumziko?
3Yesu akawajibu akisema: Hamkuvisoma hata hivyo, Dawidi alivyovifanya, walipoona njaa yeye nao wenziwe waliokuwa pamoja naye?Kupenda na kugawia.(27-36: Mat. 5:39-48.)
27Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu! Wafanyieni mazuri wanaowachukia!Kibanzi cha jichoni.
39Akawaambia mfano: Je? Kipofu aweza kumwongoza kipofu mwenziwe? Hawatatumbukia wote wawili shimoni?Nyumba juu ya mwamba.
47Kila anayekuja kwangu na kuyasikia maneno yangu na kuyafanyiza, nitawaonyesha, anavyofanana navyo.
48Amefanana na mtu aliyejenga nyumba, akiichimbia chini vizuri na kuweka msingi mwambani. Maji yalipojaa yakatoka mto, ukapasua penye ile nyumba, lakini haukuweza kuitingisha, kwa kuwa ilikuwa imejengwa vizuri.
49Lakini anayeyasikia asipoyafanyiza amefanana na mtu aliyejenga nyumba mchangani pasipo msingi. Basi, mto ulipotokea na kupasua hapo, ilianguka papo hapo, kupasuka kwake ile nyumba kukawa kukubwa.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.