1*Mimi niliyefungwa kwa ajili ya Bwana nawaonya ninyi, mfanye mwenendo unaopatana na wito, mlioitiwa.Kichwa na viungo vya mwili.
7Lakini sote tumegawiwa kipaji, kila mmoja chake yeye, kama Kristo alivyompimia cha kumpa.Mtu wa kale na mtu mpya.
17Neno hili sasa nalisema na kumtaja Bwana, awe shahidi wangu: Msiendelee tena, kama wamizimu nao wanavyoendelea na kufuata mambo wasiyoyajua maana!Kukataa uwongo na maovu yote.
25Kwa hiyo uvueni uwongo, mwambiane yaliyo ya kweli kila mtu na mwenzake! Kwani tu viungo, kila mmoja kiungo cha mwenzake.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.