Mashangilio 73 - Swahili Roehl Bible 1937

Kitabu cha tatu.(Sh. 73—89.)Mema yao wasiomcha Mungu mwisho wao ni kuangamia.(Taz. Sh. 37 na 49; tena Iyobu.)Wimbo wa Asafu.

1Kweli Mungu huwaendea Waisiraeli kwa kuwa mwema, ni wao wenye mioyo iliyong'aa

2Lakini mimi ilikuwa imesalia kidogo, miguu yangu ingalijikwaa; hakuna tena iliyosalia, nyayo zangu zingaliteleza.

27Hii ni kweli: Wakukaliao mbali hupotea, unawaangamiza wote wanaokuacha kwa kuzifuata tamaa.

28Lakini mimi naona kuwa vema, nikimkalia Mungu karibu. Bwana Mungu ninamtaka kuwa kimbilio langu, niwasimulie watu matendo yako yote.*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help