1*Kristo ametukomboa, tuwe waungwana. Kwa hiyo simameni, msijitie tena katika mafungo ya utumwa!Matendo ya mwili nayo matendo ya Roho.
13Ndugu, ninyi mliitiwa kuwa waungwana. Lakini uungwana huo msiugeuze kuwa tokeo la tamaa za miili yenu, ila mtumikiane na kupendana!
14Kwani Maonyo yote hutimilika katika neno moja, ndilo hili:
Umpende mwenzio,
kama unavyojipenda mwenyewe!Kusaidiana na kupokeana.
25*Tukiwa wa Kiroho na tuendelee Kiroho!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.