Yeremia 34 - Swahili Roehl Bible 1937

Yatakayomjia Sedekia.

1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia likitoka kwa Bwana, Nebukadinesari, mfalme wa Babeli, na vikosi vyake vyote na watu wa nchi zote za kifalme, mkono wake ulizozitawala, hayo makabila yote walipopiga vita, wauteke Yerusalemu na miji yake yote, likawa la kwamba:

2Hivi ndivyo, Bwana Mungu wa Isiraeli anavyosema: Nenda kumwambia Sedekia, mfalme wa Yuda, ukimwambia: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Utaniona, nikiutia mji huu mkononi mwa mfalme wa Babeli, auteketeze kwa moto!

3Nawe hutaopoka mkononi mwake, kwani utakamatwa, utiwe mkononi mwake, nawe utaonana na mfalme wa Babeli macho kwa macho, atasema na wewe kinywa kwa kinywa, nawe utakwenda Babeli.Mapatilizo yatakayowapata Wayuda.

8Hili ndilo neno lililomjia Yeremia likitoka kwa Bwana hapo, mfalme Sedekia alipokwisha kuagana na watu wote waliokuwamo Yerusalemu kuwatangazia watumwa ukombozi,

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help