1Wakakaa miaka mitatu, Washami na Waisiraeli wasipopigana.Ufalme wa Wayuda: Mfalme Yosafati.(41-51: 2 Mambo 20:31-21:1.)
41Yosafati, mwana wa Asa, akapata kuwa mfalme wa Wayuda katika mwaka wa 4 wa Ahabu, mfalme wa Waisiraeli.Ufalme wa Waisiraeli: Mfalme Ahazia:
52Ahazia, mwana wa Ahabu, akapata kuwa mfalme wa Waisiraeli kule Samaria katika mwaka wa 17 wa Yosafati, mfalme wa Wayuda, akawa mfalme wa Waisiraeli miaka 2.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.