1Bwana Mungu wako usimchinjie ng'ombe wala kondoo mwenye kilema au kibaya cho chote! Kwani hayo humchukiza Bwana Mungu wako.
2Itakuwa, malangoni mwako miongoni mwa miji, Bwana Mungu wako atakayokupa, aonekane mtu mume au mke anayefanya yaliyo mabaya machoni pake Bwana Mungu wako kwa kupitana na Agano lake
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.