Mashangilio 84 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuitunukia Nyumba ya Mungu.

1Kwa mwimbishaji, wa kuimba kama wimbo wa wagemaji? Wimbo wa wana wa Kora.

5Wenye shangwe ndio wakaao katika Nyumba yako, wanaokushangilia pasipo kukoma.

11Kwani siku moja ya kukaa katika nyua za Bwana ni nzuri kuliko nyingine, ijapo ziwe elfu. Kungoja zamu mlangoni kwa nyumba ya Mungu kwanipendeza kuliko kukaa mahemani kwao wasiomcha Mungu.Sh. 27:4.

12Kwani Bwana Mungu ni jua na ngao, Bwana hutugawia nao utukufu, wanaoendelea wakimcha hawanyimi chema cho chote.Sh. 3:4; 34:11.

13Mtu akuegemeaye, Bwana Mwenye vikosi, ndiye mwenye shangwe.*

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help