Mashangilio 109 - Swahili Roehl Bible 1937

Kuwaapiza wasiomcha Mungu.Kwa mwimbishaji. Wimbo wa Dawidi.

1Mungu, nikushangiliaye, usinyamaze!

2Kwani waisokucha na wadanganyifu wamenifumbulia vinywa, wakasema na mimi kwa ndimi zilizo zenye uwongo.

3Maneno yenye machukivu yakanizunguka; lakini wakinigombeza hivyo, hakuna sababu yo yote.

4Kwa hivyo, ninavyowapenda, wananipingia, nami naliwaombea wao hao.

5Kweli kwa mema, niliyowafanyizia, wananirudishia mabaya, kwa upendo wangu wananirudishia uchukivu.

6Weka mtu asiyekucha, amwangalie aliye hivyo! Satani mwenyewe amsimamie kuumeni kwake!

7Kwenye hukumu sharti atokezwe kuwa mwenye kushindwa, nako kuomba kwake sharti kuwaziwe kuwa kukosa!

8Siku zake na zifupizwe kuwa chache! Mtu mwingine na autwae ukaguzi wake!

26Nisaidie Bwana, Mungu wangu! Niokoe kwa upole wako!

27Ndipo, watakapoujua mkono wako, ya kuwa ndio, tena watajua, ya kuwa umeyafanya, wewe Bwana.

28Wao na waapize! Nawe na ubariki! Wakiinuka na wapatwe na soni, mtumishi wako afurahi!Mat. 5:11.

29Sharti wavikwe mabezo wao wanipingiao, soni zao ziwafunika kama nguo!Sh. 35:26.

30Na nimshukuru Bwana sanasana kwa kinywa changu! Kwenye watu wengi na nimshangilie!

31Kwani aliye mkiwa humsimamia kuumeni kwake, amwokoe mikononi mwao waliompatiliza.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help