1Kisha nikaona malaika mwingine, akishuka toka mbinguni mwenye nguvu kuu, nchi ikaangazwa na utukufu wake.Kilio cha kuulilia mji wa Babeli.
9Ndipo, wafalme wa nchini waliofanya naye ugoni na kuyatapanya yalio yake watakapomlilia na kumwombolezea, watakapouona moshi wa kuteketea kwake.Kutupwa kwake Babeli.
21Kisha malaika mmoja mwenye nguvu akainua jiwe kama jiwe kubwa la kusagia, akalibwaga baharini akisema: Kwa nguvu kama hii mji mkubwa wa Babeli utabwagwa upesi hivyo, usionekane tena.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.