1Mimi Paulo niliye mtume wa Kristo Yesu kwa agizo lake Mungu aliye mwokozi wetu na kwa agizo lake Kristo Yesu aliye kingojeo chetuUpendano ufaao.
3Hapo, nilipokwenda Makedonia nilikuagiza wewe kukaa Efeso, uwakataze wengine, wasifundishe menginemengine,
12Namshukuru Bwana wetu Kristo Yesu aliyenitia nguvu, akaniona kuwa mwelekevu, akanipa utumishi mimi
18Mwanangu Timoteo, kwa ajili ya maneno ya ufumbuaji, uliyosemewa kale, nakupa agizo hili, uyashindanie mashindano mazuri
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.