1Yesu akaenda zake mlimani pa michekele.
2Asubuhi na mapema alipokuja tena Patakatifu, watu wote wakamwendea, naye akakaa akiwafundisha.
3Ndipo, waandishi na Mafariseo walipoleta mwanamke aliyefumaniwa katika ugoni, wakamsimamisha katikati.
4Kisha wakamwambia: Mfunzi, mwanamke huyu amefumaniwa papo hapo, alipofanya ugoni.
5Lakini Mose alituagiza katika Maonyo kuwaua wanawake walio hivyo kwa kuwapiga mawe; basi, wewe unasemaje?Kuwashinda Mafariseo.
12Kisha Yesu akawaambia tena akisema: Mimi ndio mwanga wa ulimwengu; anifuataye mimi hataendelea kwenda gizani, ila atakuwa anao mwanga wa uzima.Yesu atokako nako aendako.
21Akawaambia tena: Mimi nakwenda zangu, nanyi mtanitafuta, hata kufa mtakufa, mko katika ukosaji wenu. Niendako mimi, ninyi hamwezi kukufika.Uungwana wa kweli.
31*Hao Wayuda waliomtegemea Yesu akawaambia: Ninyi mkilikalia Neno langu, kweli m wanafunzi wangu,
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.