1Raheli alipoona, ya kuwa hamzalii Yakobo wana, ndipo, alipomwonea dada yake wivu, akamwambia Yakobo: Unipatie wana! Nisipowapata nitakufa.
2Ndipo, makali ya Yakobo yalipomwakia Raheli, akamwambia: Je? Mimi ni kama Mungu aliyekunyima mazao ya tumbo?
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.