1*Mwenzangu Teofilo, katika kitabu cha kwanza nalikuandikia yote, Yesu aliyoanza kuyafanya na kuyafundisha
6Waliokusanyika walipomwuliza: Bwana, siku hizo ndipo, utakapowasimamishia Waisiraeli ufalme wao tena?Majina ya mitume.
12Ndipo, walipoondoka penye huo mlima unaoitwa Wa Michekele, ulioko karibu ya Yerusalemu, ni mwendo usio na mwiko wa siku ya mapumziko; wakarudi Yerusalemu.Matia.
15Siku zile Petero aliinuka katikati ya ndugu waliokuwa wamekutana pamoja, wapata 120, akasema:
16Waume ndugu zangu, ilipasa andiko litimie, Roho Mtakatifu alilolisema kale kinywani mwa Dawidi kwa ajili ya Yuda aliyekuwa kiongozi wao waliomkamata Yasu.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.