1*Kila mtu na autii ukuu! Maana uko na nguvu kumpita yeye. Kwani hakuna ukuu usiotoka kwa Mungu; nao wote ulioko umewekwa na Mungu.Kupendana.
8Msiwe wadeni wa mtu ye yote, isipokuwa wa kupendana! Kwani anayempenda mwenziwe ameyatimiza Maonyo.
11*Fanyeni hivyo mkizijua siku hizi, kwamba saa imekwisha fika ya kuamka katika usingizi! Maana wokovu wetu sasa uko karibu kuliko siku zile, tulipoanza kumtegemea Bwana.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.