1Kisha nikaona malaika wanne waliosimama penye pembe nne za nchi, wakizishika pepo nne za nchi, maana upepo usivume nchini wala baharini wala penye mti wo wote.
12Kweli, mapongezo na utukufu na werevu wa kweli
na shukrani na heshima na uwezo na nguvu
ni za Mungu wetu kale na kale pasipo mwisho! Amin.
13Mmoja wao wale wazee akaniuliza akisema: Hawa waliovikwa kanzu nyeupe ni akina nani? Nao wametoka wapi?
14Nikamwambia: Bwana wangu, wewe unajua. Akaniambia: Hawa ndio waliotoka katika maumivu makubwa, ndio waliozifua nguo zao na kuzing'aza kwa damu ya Mwana kondoo.
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.