1Sasa tusemeane nanyi wenye mali: Lieni na kuyaombolezea mahangaiko yenu yatakayowapata!Vumilieni!
7Ndugu, vumilieni, mpaka Bwana atakaporudi! Tazameni, mkulima anavyoyangoja mazao ya nchi, maana ni yenye kima! Huvumilia mpaka apate mvua ya vuli nayo ya masika.Tusiape!
12Ndugu zangu, nilitakalo sana, ni hili la kwamba: Msiape! Msiape na kutaja wala mbingu wala nchi wala kiapo kingine cho chote! Mkisema: Ndio, iwe ndio kweli. Tena mkisema: Sio, iwe sio kweli, kwamba msitumbukie hukumuni!Nguvu ya kuomba.
13*Kwenu kama yuko mwenye kuteseka, na amwombe Mungu! Kama yuko mwenye kutulia, na aimbe nyimbo!
Who We AreWhat We EelieveWhat We Do
2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.