2 Wakorinto 13 - Swahili Roehl Bible 1937

Nguvu ya Kimungu.

1Hii itakuwa mara ya tatu, nikija kwenu. Hapo kila jambo litamalizika kwa kusemewa na mashahidi wawili au watatu.Salamu.

11Mwisho, ndugu, furahini, mtengenezane, mwonyane, mioyo yenu iwe mmoja, mpate kutengemana! Ndipo, Mungu aliye mwenye upendo na matengemano atakapokuwa pamoja nanyi.Rom. 15:33; Fil. 4:4.

12Mwamkiane mkinoneana, kama watakatifu walivyozoea! Watakatifu wote wanawasalimu.1 Kor. 16:20.

13Upole wa Bwana wetu Yesu Kristo na upendo wa Mungu na bia ya Roho Mtakatifu iwakalie ninyi nyote! Amin.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help