1 Wafalme 9 - Swahili Roehl Bible 1937

Mungu anasema na Salomo(1-9: 2 Mambo 7:11-22.)

1Salomo alipomaliza kuijenga Nyumba ya Bwana na nyumba ya mfalme na kuyafanya yote, Salomo aliyotaka kuyafanya kwa kupendezwa nayo,

2ndipo, Bwana alipomtokea Salomo mara ya pili, kama alivyomtokea kule Gibeoni.

20Watu, aliowatumia, ndio wote waliosalia wa Waamori na wa Wahiti na wa Waperizi na wa Wahiwi na wa Wayebusi wasiokuwa wa wana wa Isiraeli;

21wana wao wale waliosalia na kuachwa na wenzao katika nchi hii, kwa kuwa wana wa Isiraeli hawakuweza kuwamaliza na kuwaua kwa kuwatia mwiko wa kuwapo, basi, hawa Salomo akawatoa, akawafanyisha kazi za nguvu za kitumwa hata siku hii ya leo.Merikebu za Salomo.

26Kisha mfalme Salomo akatengeneza nazo merikebu za mizigo kule Esioni-Geberi karibu ya Eloti huko pwani kwenye Bahari Nyekundu iliyoko katika nchi ya Edomu.

27Hiramu akatuma watumishi wake wa kutumia merikebuni walio mafundi wa kazi za merikebuni, walioijua nayo bahari, wafanye kazi pamoja na watumishi wa Salomo.

Blog
About Us
Message
Site Map

Who We AreWhat We EelieveWhat We Do

Terms of UsePrivacy Notice

2025 by iamachristian.org,Inc All rights reserved.

Home
Gospel
Question
Blog
Help